Wana JF hasa wale wenye utaalamu wa sheria, naomba msaada wenu wa neno tajwa hapo juu yaani tafsiri sahihi au maana ya neno APPELATE POWERS ni nini? Asanteni sana
Appelate=> Appellate. So "appellate powers" ni kama alivyoeleza mdau hapo juu. Au wakati mwingine "appellate jurisdiction" linaweza kutumika kuashiria maana hiyohiyo.