Naomba ufafanuzi wa ugonjwa wa ngozi ya fuvu la kichwa kuvimba (kuwa na manundu)

Naomba ufafanuzi wa ugonjwa wa ngozi ya fuvu la kichwa kuvimba (kuwa na manundu)

falcon Q

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
972
Reaction score
2,569
Kwa mwenye ufahamu kuna hali imenikuta baada ya kutumia dawa za maumivu za dawa tatu.

Nikipapasa kichwani nahisi ngozi ina manundu manundu na hali kama ya kufa gazi hivi licha ya kwamba sihisi maumivu yoyote zaidi kama ka hali flani hv ka ulevi inanipa mashaka.

Naombeni mwongozo wataalamu
 
Back
Top Bottom