mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Kwa wajuzi wa sheria, binafsi sina weledi na sheria.
Nilikuwa na kesi ktk baraza la ardhi nyumba na makazi, taxation case kuhusu bill of cost, bahati nzuri ile kesi nimeshinda na imefikia mwisho, ingawa rufaa ipo wazi lkn yule niliemshinda ameniletea samansi ya kuitwa tena ktk baraza lile lile, na nilipoiangalia nikapata mwangaza kidogo kuwa ameandika utetezi wa ile hoja iliyomfanya ashindwe kesi, pia ameambatanisha na kiapo toka kwa mwanasheria, na hakimu mkazi nae kasaini.
Swali langu ni kuwa huyu mtu atakuwa sahihi kweli? kuleta tena hoja ya utetezi na shauri lilishafungwa? na kama hayupo sahihi mbona baraza lile lile lililohukumu kesi limempa samansi ya kuniletea?
Au hiyo ndio sawa na kuiita ni rufaa? na rufaa sio kuwa inakwenda mahakama kuu?
Naomba mnijuze wadau.