Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Mmh ota mwozowe!.Je wanaosema naniliu badala ya nanihii, 'baada' badala ya 'badala', wapo hata wantangazaji redioni wanaotamka thatha badala ya sasa, wale wenye kithembe.(Ni sawa kuajiriwa kwenye tasnia hii) kuna wale wliobobea kwa kusema lisaa limoja badala ya saa moja, au masaa 24 badala ya saa 24. Hebu fikiria hii ni mpaka kwenye matangazo ya kampuni kubwa tu za simu hapa tz, utajiuliza hivi wahusika wanapoidhinisha tangazo huwa wanazingatia usahihi wa lugha? SOMEBODY HELP PLEASE!!!!!!
Unasema redioni ama kwenye Radio? It is a genuine question?Je wanaosema naniliu badala ya nanihii, 'baada' badala ya 'badala', wapo hata wantangazaji redioni wanaotamka thatha badala ya sasa, wale wenye kithembe.(Ni sawa kuajiriwa kwenye tasnia hii) kuna wale wliobobea kwa kusema lisaa limoja badala ya saa moja, au masaa 24 badala ya saa 24. Hebu fikiria hii ni mpaka kwenye matangazo ya kampuni kubwa tu za simu hapa tz, utajiuliza hivi wahusika wanapoidhinisha tangazo huwa wanazingatia usahihi wa lugha? SOMEBODY HELP PLEASE!!!!!!