lwampel JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 249 Reaction score 55 Sep 15, 2011 #1 Wana jf, naomba mnisaidie ufafanuzi wa neno KARAMU na KALAMU. Kwa kweli maneno haya yananichanganya sana.
Wana jf, naomba mnisaidie ufafanuzi wa neno KARAMU na KALAMU. Kwa kweli maneno haya yananichanganya sana.
K klf Member Joined Jun 12, 2009 Posts 58 Reaction score 11 Oct 2, 2011 #2 Karamu: vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa kwa shughuli maalum (Kamusi Tuki) Kalamu: kifaa kinachtumiwa kuandikia kwenye karatasi
Karamu: vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa kwa shughuli maalum (Kamusi Tuki) Kalamu: kifaa kinachtumiwa kuandikia kwenye karatasi