Naomba ufafanuzi.

Naomba ufafanuzi.

prince zodiac

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
40
Reaction score
9
Naombeni jamani kwa mlioko vyuo, au wale ambao tunataka kwenda vyuoni, hivi 'result slips' za form six ni muhimu kuripoti nazo vyuoni?
 
hyo itakuwa ni muhmu, especialy kutokana na chuo chenyewe. Kuna vyo huwa wanataka kuhakiki watu waliopangiwa, hvyo huitaji viambatanisho vifuatavyo;
1. Academic Certificate/result slip(IV & VI)
2. Birth certificate
3. Leaving certificate (IV & VI)
 
hyo itakuwa ni muhmu, especialy kutokana na chuo chenyewe. Kuna vyo huwa wanataka kuhakiki watu waliopangiwa, hvyo huitaji viambatanisho vifuatavyo;
1. Academic Certificate/result slip(IV & VI)
2. Birth certificate
3. Leaving certificate (IV & VI)

Haswa, hivyo hakikisha kua hivyo vitu haukosi kwenda navyo.
 
kuna mambo mawili yanakuhusu
1. inawezekana wewe ni mgumu sana wa kuelewa(slow learner)
2.una kihoro cha kujiunga na chuo
kama tatizo ni ugumu wa kuelewa, basi anza kuitune akili yako mapemaa ili kukabiliana na maisha ya chuoni, kama ni kihoro basi jaribu kukipunguza.

ni mtazamo tu usikasirike haya ni mawazo tu
-kuhusu swali lako, jibu ni kwamba nenda na vyeti original ulivyotajiwa na mdau hapo juu

niende na copy or org
 
kila mtu anayo copy wewe beba vyet orign tena kwa kuwa hivyo ndo ulivyokua navyo vikakufanya ujiunge na chuo
 
Back
Top Bottom