Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Sep 1, 2011 #1 Je kama mfanyakazi na una uanachama NSSF,PPF etc. Je kuna uwezekano wa kuhama uanachama sehemu moja na kwenda kwingine? kwa mfano: UPO PPF na UNATAKA KUHAMIA NSSF; Pia kama kuna sheria husika naomba kujulishwa. Thanking you in advance, KIMBWEKA
Je kama mfanyakazi na una uanachama NSSF,PPF etc. Je kuna uwezekano wa kuhama uanachama sehemu moja na kwenda kwingine? kwa mfano: UPO PPF na UNATAKA KUHAMIA NSSF; Pia kama kuna sheria husika naomba kujulishwa. Thanking you in advance, KIMBWEKA