Naomba Ujiunge JF--Hatimae nikatii...

Naomba Ujiunge JF--Hatimae nikatii...

This Is Mangi

New Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Ni sauti toka milima ya sayuni,
Kama Ujumbe ulivyo mjia Musa,
Nami nikaupata vilivyooo.....

"Ewe Mangi, nakuagiza mara moja ufunge JF, ujiunge na uwape Jumbe zangu kila nitakavyo"
Akazidi kusema...

"Najua watu wangu wameacha kunisikiliza,
Kupitia wewe, nakutuma ukakomboe jukwaa hilo....

Hakika nimesikiliza wito, nimetii.
Sikuwa mmoja wa nyie katika kuchangia,
Nilikuwa msomaji....

Kila agizo nitalitekeleza na kulileta hapa kama Nitakavyo agizwaaa....

Je,
Nafaa kuketi na Kujumuika nanyi???




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah we mwenyeji kabisa,mbona siyo muda nimeona comments zako kwa ile id nyingine?
 
Back
Top Bottom