Ni sauti toka milima ya sayuni,
Kama Ujumbe ulivyo mjia Musa,
Nami nikaupata vilivyooo.....
"Ewe Mangi, nakuagiza mara moja ufunge JF, ujiunge na uwape Jumbe zangu kila nitakavyo"
Akazidi kusema...
"Najua watu wangu wameacha kunisikiliza,
Kupitia wewe, nakutuma ukakomboe jukwaa hilo....
Hakika nimesikiliza wito, nimetii.
Sikuwa mmoja wa nyie katika kuchangia,
Nilikuwa msomaji....
Kila agizo nitalitekeleza na kulileta hapa kama Nitakavyo agizwaaa....
Je,
Nafaa kuketi na Kujumuika nanyi???
Sent using
Jamii Forums mobile app