kichwakili
Member
- Aug 19, 2017
- 27
- 23
Habari wakulima wenzangu, mimi ni mgeni katika sekta hii ya kilimo ila kwa sasa nataka kujikita kwenye kilimo cha mihogo na viazi vitamu nina shamba la heka mbili shamba lipo lugwadu lakini sijui pa kuanzia kwa maana kwamba sina ujuzi na kilimo.
Naomba kujuzwa namna ya kuandaa shamba ni kipindi gani kizuri kupanda hili zao la mihogo na viazi vitamu na ni mbegu gani nzuri na za muda mfuko pia nilitaka nilime kwa kukodi gari la kulimia lakini sijui naanzia wapi kupata hiyo huduma na gharama zikoje