Mihogo mara nyingi hulimwa kwenye matuta ukikodi gar la kulimia hiyo inakuwa sesa,
Cha msingi nenda kwa afisa kilimo wa eneo ulipo akushauri mbegu inayofaa kupandwa kulingana na hali ya hewa ya eneo ulipo
Pia ili ushauriwe vizuri ungetaja na mkoa ambao unataka kufanya hicho kilimo