Naomba ujuzi wa kupika choroko

Naomba ujuzi wa kupika choroko

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
32,767
Reaction score
23,198
Habari zenu wapishi

Mie sio mpenzi wa choroko...lakini kuna mahali nilikula choroko tamu mnooooo

Bahati mbaya sikuweza kuoata recipe na nimetamani

Hapa nimenunua choroko zangu....

Naomba wa juzi wakupika hizi mtupie maujuzi

Nataka ujuzi wenu kwanza kabla sijamconsult mrgoogle...maana naamini ujuzi wenu ni muhimu na waki-tz zaidi

Natanguliza shukrani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ANDAA CHOROKO ZAKO
TOA UCHAFU MCHANGA NK
CHEMSHA MAJI MARA MBILI YA HIZI CHOROKO
OSHA CHOROKO ZAKO CHEMSHA
THEN UNAUNGA KAMA MAHARAGE TU
SEMA UKITAKA MBWEMBWE ONGEZA VIUNGO VIUNGO HADI NAZI
 
Mie nataka yenye mbwembwe.....
UKITAKA MBOGA YAKO YOYOTE IWE VIZURI KATA KITUNGUU KWA KUKISIMAMISHA THATS RULE NO ONE JIKONI NIPO BUSY NITAKUELEKEZA KIDOGOKIDOGO
twohalves.jpg
seethecuts.jpg
 
Nilikula iliyotiwa iliki na kitunguu saumu na nazi mpaka leo naikumbuka
Nahisi ndio nilokula mie

Nikikosa recipe nitajaribu kutia kitunguu swaumu, curry power, rosemary na oregano na nazi

Nione zitatokaje
 
Back
Top Bottom