sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Jul 19, 2017 #21 BADILI TABIA said: Weeee Choroko hata ukivaa gunia zitaiva Hazinaga shida Click to expand... Amin hivyo
BADILI TABIA said: Weeee Choroko hata ukivaa gunia zitaiva Hazinaga shida Click to expand... Amin hivyo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Jul 19, 2017 Thread starter #22 BAK said: Haya kila la heri kwenye mapishi yako yaliyojaa mbwembwe 🙂 lete mrejesho zikiwa tamu kama hizo ulizokula. Click to expand... Hahaha Poa
BAK said: Haya kila la heri kwenye mapishi yako yaliyojaa mbwembwe 🙂 lete mrejesho zikiwa tamu kama hizo ulizokula. Click to expand... Hahaha Poa
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Jul 19, 2017 Thread starter #23 Miss Natafuta said: BUT NI VIZURI KUTUMIA VIUNGO VYA HAPA BONGO HAYO MACURY YA MCHINA ACHANA NAYO Click to expand... Poa poa
Miss Natafuta said: BUT NI VIZURI KUTUMIA VIUNGO VYA HAPA BONGO HAYO MACURY YA MCHINA ACHANA NAYO Click to expand... Poa poa
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Jul 19, 2017 #24 HOHO KATA KUBWA KUBWA SANA
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Jul 19, 2017 #25
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Jul 19, 2017 #26 Miss Natafuta said: MDALASINI HAWAKUWEKA? Click to expand... Sina uhakika but test iliyotokelezea sana ilikuwa kitunguu saum
Miss Natafuta said: MDALASINI HAWAKUWEKA? Click to expand... Sina uhakika but test iliyotokelezea sana ilikuwa kitunguu saum
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 21, 2017 #27 Chemsha.. Kisha ziunge na kitunguu, nyanya, na carrot... Viungo vikiiva weka choroko zako then nazi