Naomba Ukaribisho Wenu Wakuu

Mitch McDeere

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
303
Reaction score
632
Habari za wakati huu.
Wakuu, nimefungua account ya Jamiiforums hivi karibuni. Nimeona ni vyema nijitambulishe kwenu.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa JamiiForums kwa takribani miaka mitatu sasa, Lakini nilikuwa bado sijajiunga rasmi.
Naomba ushirikiano wenu, kwa upande wangu nitatoa ushirikiano pale inapowezekana.
Ahsante sana!
 
Karibu sana allied. Je, jukwaa gani linakuvutia humu jf?
 
Jiskie upo home ila siasa za miemko mwiko! Matusi kejeli hapana huku hivyo vifanyiwe fb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…