Naomba ukaribisho

Haya mgeni nishakuwa mwenyeji. Kaizer kinywaji mbona hakifiki? Love u all mlionikaribisha.
 
Last edited by a moderator:
Haya mgeni nishakuwa mwenyeji. Kaizer kinywaji mbona hakifiki? Love u all mlionikaribisha.

Nimekwambia Catherine,
hawana Hela hao.
Bora hata nikupe Shemeji yangu Platozoom.
Ona sasa Kinywaji mpaka leo holaa..!!!
Wanajishaua tu.
Kwanza Kaizer ana wake,
Asikudanganye,njoo kwa shem wangu,
Utakunywa tani yako.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina kawaida ya kukarihisha wageni ila mimi umenivutia sana karibu Catherine
Unakunywa nni?
Hahahahaha Kaizer nilikuwa sijapita pande hii kumbe uliniwahi tangu huku lol
Ndio maana nashangaa Catherine wakati namkagua analalama tu Kaizer...Kaizer lol
 
Last edited by a moderator:
Nimekwambia Catherine,
hawana Hela hao.
Bora hata nikupe Shemeji yangu Platozoom.
Ona sasa Kinywaji mpaka leo holaa..!!!
Wanajishaua tu.
Kwanza Kaizer ana wake,
Asikudanganye,njoo kwa shem wangu,
Utakunywa tani yako.
Ningekuwa siko na Amyner ningeomba unikabidhi mimi
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 ulikuwa wapi hadi mgeni nimeota mabawa!
Nahsangaa kutoka kidogo tu jamaa wakaniwahia aisee lol
Ila hakuna shida msaidizi wangu Ulimakafu anaendeleza kazi vema kabisa tena bila chenga ingawa alinambia kuna mgeni anaitwa Catherine kaja kwa mkwara mzito
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…