TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental kwa wale wazoefu nahitaji kujua kuhusu bei ya kununua vifurishi na channels zilizopo.
Asanteni