Naomba Updates za kazi za Takukuru

Naomba Updates za kazi za Takukuru

Acha mbwembwe, Yani hicho tu kimekufanya ufungue Uzi?
Hebu nenda kule kwenye Uzi wenye tangazo lao ajira, updates na lonja zingine zinapatikana huko.
 
Haieleweki wataita lini. Ila kwa kufuatilia utaratibu wao wa nyuma inaonekana huwa wanachukua muda mrefu sana mpaka kuita watu kwenye interview yao yaani sio chini ya miezi miwili na nusu na kuendelea.
 
Niku Unganishe.?Bila Mchongo Ata Iyo Interview UtaisikiaTu Kijana.
 
Back
Top Bottom