Humilis
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 889
- 1,070
Habarin Wakuu...
naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa(mjin)...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin idad ya waombaji ni kubwa na ninapata waswas wa kuchaguliwa...Naomben msaada wenu..
Ahsanten na kaz njema nyoote.
(Nina B+ ya chem,Bios na Phys)