M Marichris JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 571 Reaction score 509 May 29, 2020 #1 Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje? Asanteni. π
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje? Asanteni. π
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,806 May 29, 2020 #2 Download ''bluestacks" hio mm ndo hua natumia
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 May 29, 2020 #3 Unaweza kuunganisha ya kwenye simu na kwenye pc yako kupitia whatsapp web kwenye browser yako. Au download bluestack. Ila uwe na ram angalau kuanzia 4gb kwenye pc yako.
Unaweza kuunganisha ya kwenye simu na kwenye pc yako kupitia whatsapp web kwenye browser yako. Au download bluestack. Ila uwe na ram angalau kuanzia 4gb kwenye pc yako.
RAKI BIG JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 394 Reaction score 456 May 29, 2020 #4 Goddess said: Download ''bluestacks" hio mm ndo hua natumia Click to expand... ina gb 1
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 May 29, 2020 #5 WhatsApp web:- inasaidia tu badala ya kutumia simu ukatumia computer kwa account ambayo umejiunga ktk simu yako na si account nyingine Blue stak, knox etc:- Hizi ni emulator ambazo unaweza ingia playstore kabisa na ku download app mbalimbali ikiwepo WhatsApp na kujiunga na namba unayotaka
WhatsApp web:- inasaidia tu badala ya kutumia simu ukatumia computer kwa account ambayo umejiunga ktk simu yako na si account nyingine Blue stak, knox etc:- Hizi ni emulator ambazo unaweza ingia playstore kabisa na ku download app mbalimbali ikiwepo WhatsApp na kujiunga na namba unayotaka
M Marichris JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 571 Reaction score 509 May 29, 2020 Thread starter #6 Goddess said: 'bluestacks Click to expand... Thanks much G π