Naomba usharudi juu ya suala hili

maya44

Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
10
Reaction score
6
Samahani naomba kauliza je kama mwanaume amewahi kuumwa warts kwa miezi Sita iliyopita na ameshatibu tatizo kwasasa.

Je, endapo nilikutana naye kimwili naweza kupata mambukizi?
 
Unataka kukutana nae kavukavu bila condoms?
 
Samahani naomba kauliza je kama mwanaume amewahi kuumwa warts kwa miezi Sita iliyopita na ameshatibu tatizo kwasasa.

Je, endapo nilikutana naye kimwili naweza kupata mambukizi?
Warts ni ugonjwa gani?
 
Kwanza acha uzungu mwingi. Sema anaumwa kaswende alafu kama ni miezi 6 nyuma na alitumia dawa huyo kapona ila kama alijificha vidonda vikaisha ngoma bado ipo mwilini jipekeche uoze k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…