Yaani anakuwa anajinyonganyonga tu pia akiwa ana nyonya tumbo linakuwa linaunguruma hivi.labda ungeeleza anaharisha mav gani kwasababu kama umesema mkeo alijifungua j3 hivyo hajamaliza hata wik 2, sasa kwa uelewa wangu mtoto chin ya mwez 1 au miez mi3 huwa anaharisha hawez kunya mav magum sababu chakula chake ni maziwa tu ambacho ni kimiminika, hivyo kuharisha ni jambo la kawaida tena hadi huharisha kinyes cheus, labda uelezee hali ya mtoto kiujumla, analia?, anajinyonganyonga kuonesha tumbo linamuuma? anachemka? hali yake ipoje? hapo utapata msaada zaidi. ahsante.
Kama ni hilo tumbo tu ni kawaida, akifikisha miezi mitatu litapona lenyewe mmfanyie massage ya tumbo akianza kuumwaAsante mkuu nilifanikiwa kumpeleka hospitalI wakanieleza tatizo hilo la michago.