Naomba ushauri gari ipi ninunue

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki.....
Tunamshukuru Mungutunaishi.
sasa ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua nimejichanga nimeona nipate usafiri hapa nina milioni 13 naomba ushauri ni gari gani inafaa iwe ni rafiki kwa mafuta na iwe inapita kwenye barabara za vijijini yaan natural road ambazo zina mabonde ya kutosha simply nataka gari ambayo iko juu bei yake isizidi milioni 13 ......
 
Sijui kama Subaru forester iko chini lkn AWD yake najua itakufaa kwny barabara hizo.
 
Nahitaji IST new model ya 2007 sijui kama bado inaitwa hivyo hivyo new model ila nataka kujua bei Yake kwa DAR.
 
Tafuta Harrier toleo la nyuma,
utafurahia hizo rough road
 
Nami naomba msaada wenu wajuzi wa Magari.
Kati ya Prado landcruiser Tx-L na Fortuner crusade new model 2020. Nichukue ipi?

Ubora, ulaji wa mafuta, mwendo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…