Naomba ushauri gari yangu inakula sana mafuta

King999,
Tuwekee hapa mileage ya hiyo gari kabla hatujakueleza matatizo mengine...
 
sawa
 
Duh kazi ipo asee yaani pesa niliyotumia mpaka sasa sidhani kama nitaendelea kuihangaikia
 
Kwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...
 
Hiyo Ti inakula sana mafuta mi nayo lita 1 in atembea km12 kwa mjini lkn highway hadi km18.
Na enjoy nayo sana.
 
Huyo atakaemuuzia atatibuje hiyo shida? Tuwe na upendo Jaman
 
Huyo atakaemuuzia atatibuje hiyo shida? Tuwe na upendo Jaman
Yawezekana atakaye nunua akawa na uwezo zaidi yake wa kuweza kuingia hizo gharama za matengenezo.Kuna watu wana mahaba na magari mkuu...
 
dah naskitika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…