Naomba ushauri hapa

Naomba ushauri hapa

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Kama wiki hivi napata maumivu ya maeneo ya kitofu kwa chini ni kama maeneo ya mavuzi kwa ndani hali inasababishwa sanasana na mazoezi ya mchezo wa mpira ,maumivu yanazidi zaidi ninapokuwa uwanjani ,maumivu ni makali yananifanya nikose nguvu ya kuamka kama nimelala chale ,pia nikipiga chafya maumivu nayasikia hata kutembea pia maumivu hujitokeza ,ijumaa nimeenda hospital kitengo cha Mazoezi (Physiotherapy) baada ya Dr kunicheki akanielekeza kwa Dr mwingine ili nikafanyiwe kipimo cha ultrasound ya tumbo mzima mpaka maeneo ya figo na kibofu cha mkojo ,matokeo yalikuwa Normal yani hamna kitu chochote chenye hitrafu.Naomba kujua hivi kwenye kipimo hiki huwa kinapimwa zaidi vitu gani nani matatizo yepi yanaweza ainishwa na kipimo hiki?
 
Back
Top Bottom