Naomba ushauri ili niweze kupata ufaulu mzuri chuo GPA ya 4.5 - 5

Naomba ushauri ili niweze kupata ufaulu mzuri chuo GPA ya 4.5 - 5

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.

Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!

Ahsante naomba kuwasilisha!
Maisha halisi ya kitaa yanaweza yasihitaji kabisa hyo GPA yako unayotaka,tafuta refa atakaekubeba baada ya masomo yko,vingine ni bla bla bla tu.
 
Zingatia masomo kijana.

Lakini sijui kwanini unaitaka hiyo GPA, chuo ni sehemu ya kijifunza kuwa mtu mzima.

Mbali na masomo ya darasani tunategemea utumie fursa hiyo kujifunza: -

1. mahusiano (ya kimapenzi na mangeneyo)
2. Networking, tengeneza mtandao wa marafiki wenye manufaa

3. Siasa na uongozi (kama una interest)

4. Ujasiriamali
 
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom