kichwangum
Member
- Nov 10, 2024
- 43
- 62
hapana co kwamba cjui cha kufanya ila nataka additional ideasNi kweli hujui cha kufanya?
Kamuhonge lecturer.hapana co kwamba cjui cha kufanya ila nataka additional ideas
Maisha halisi ya kitaa yanaweza yasihitaji kabisa hyo GPA yako unayotaka,tafuta refa atakaekubeba baada ya masomo yko,vingine ni bla bla bla tu.Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante naomba kuwasilisha!
Itumie vizuri chatgpt, inarahisisha sana maisha!Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante naomba kuwasilisha!
Ahsante mkuuZingatia masomo kijana.
Lakini sijui kwanini unaitaka hiyo GPA, chuo ni sehemu ya kijifunza kuwa mtu mzima.
Mbali na masomo ya darasani tunategemea utumie fursa hiyo kujifunza: -
1. mahusiano (ya kimapenzi na mangeneyo)
2. Networking, tengeneza mtandao wa marafiki wenye manufaa
3. Siasa na uongozi (kama una interest)
4. Ujasiriamali