Naomba ushauri jamani nivumilie au nisepe?

mchukue tu,ikilala moja kwa moja siye mafisi tupo hatuishi duniani
 
jamani kwani ndoa ni kitu hicho tu cha degree?mimi bora wangu awe na tabia nzuri tu,mambo ya vipima joto hivyo ni majaaliwa
 
Reactions: LD
Mfanyie manjonjo ikibidi mlambe koni km kitu kitaendelea kuwa goigoi tafuta mbadala.
 
Kama anakufikisha kileleni baki naye tu! Ucje ukajkuta unaangukia kwenye nyuzi 20, rafk.
 

Mungu hana upendeleo,pia hawezi kukupa vitu vyote.Mvumilie mwenzio huku mkielekeza ataelewa.Usimuhukumu maana nawe unamapungufu kama binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…