Naomba ushauri JF

lufumbula

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
22
Reaction score
0
Nina elim kidogo kdatu cha nne,tu,ila nina tatzo la kichemba yani wanakaita kajembe,haka kapo juu ya ktovu,ukipapasa tu utakaona xx mm hakapo na waga nasikia maumivu kwa ndan na mda mwingne nguvu za kiume zinaisha kabisa nifanyeje?
 
Mbona elimu haikuhitajika hapo..... Ila labda ulitaka kama ma dr wakija wakuandikie dawa kwa majina ya kiswahili maana form IV za miaka hii sijuiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi hata kidato cha nne nao siku hizi hawajui kuandika?
Ndugu yangu labda upo mamtoni muda mrefu....Usishangae kuandika hata kusoma wengine hawajui..... Ila tuko kwenye BRN tutashangaza ulimwengu hivi karibuni.
 
Ndugu yangu labda upo mamtoni muda mrefu....Usishangae kuandika hata kusoma wengine hawajui..... Ila tuko kwenye BRN tutashangaza ulimwengu hivi karibuni.

Yeuuwiii
 
Naukumbuka huo ugojwa rafiki. Huwa ni kama kitu flani kigumu/kipande cha mfupa kinasimama kwenye kifua. Unatibiwa kwa miti shamba wala huhitaji kwenda kudaganywa kupiga ramli kwa wagaga. Ni pm nikuunganishe na mama mzazi atakusaidia usisahau kutaja ulipo kwani yawezekana ukawa karibu na ukaja nyumbani. Pole sana japo suala la elimu na maradhi halina uhusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…