Naomba ushauri jinsi ya kuacha kupiga puli,

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kupiga puli,

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
792
Hivi wadau kuna namna yeyote ya kuacha kujipiga selfie ? Ni muda sasa tangu nianze kujihudumia, japo sijawahi kupata madhara yeyote kuhusiana na hii Tabia yangu, ila naomba msaada wa kuacha hii kitu jaman nachoka kuvuta hisia za mademu wakali,
 
ungeereza japo kwa ufupi ulianzaanzaje hiyo michezo labda kwa sababu ya kuachwa na mpenzi au ulianza kwenye barehe ili wataalamu wa saikolojia wakupe ushauri kulingana na chanzo cha tatizo lako
 
Mazee ambao mnatumia hiyo kitu, jiorodhesheni ili tuwaone!![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom