Naomba ushauri jinsi ya kuacha kupiga puli,

Nyeto ni ngumu kuacha wakuu maana inakupa kile unachohitaji bila gharama na wakati wowote na kwa namna uipendayo mwenyewe.

Mimi nimeacha sasa na jambo lilonisaidia ni kubadili mtazamo wangu. Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu nilikuja kuelewa kuwa nyeto ni moja wapo ya njia ambayo wanaume wengi hutumia kukimbia wajibu au majukumu yao ambayo huweza kuwa kutongoza wanawake ama kukabili changamoto zingine za kimaisha.

Kuwa mwanaume sasa, acha nyeto tafuta wanawake.
 
Hivi wadau kuna namna yeyote ya kuacha kujipiga selfie ? Ni muda sasa tangu nianze kujihudumia, japo sijawahi kupata madhara yeyote kuhusiana na hii Tabia yangu, ila naomba msaada wa kuacha hii kitu jaman nachoka kuvuta hisia za mademu wakali,
ungetuletea video moja kali unayopenda kuitumia ingekua poa sana mkuu[emoji1]
 
Hiyo kuacha mkuu sio kazi ndogo ila utapumzika tu yaani kama vacation fulani ktk visiwa wa Hawaii halaf baadae utarudi
 
Hivi wadau kuna namna yeyote ya kuacha kujipiga selfie ? Ni muda sasa tangu nianze kujihudumia, japo sijawahi kupata madhara yeyote kuhusiana na hii Tabia yangu, ila naomba msaada wa kuacha hii kitu jaman nachoka kuvuta hisia za mademu wakali,
usiache bhana ila punguza tuuh kasi piga mara moja moja kila baada ya siku mbili au tatu..
 
Jitie ngeu kwenye boro alafu kila likikaribia kupona tia ngeu nyingine!

Hakuna namna nyingine zaidi ya kuliumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…