Wadau, mie nina kaujenzi kanakokadiria kutumia mifuko 50 Hadi 100. Kununua rejareja naona inaniumiza. Ningependa kujua je inawezekana kununua cement kwa Bei ya jumla kutoka kiwandani ili nipate Bei ya punguzo kwa mifiko 100?
Naombeni ushauri. Naisha Mbezi Luisi karibu na Mageti
Naombeni ushauri. Naisha Mbezi Luisi karibu na Mageti