Mkuu mifuko 100 ni michache sana kwa kuagiza order ya kiwandani, hiyo ni kama tan 5, hyo ni tofauti ya kama 1500 kwa bei ya mtaani, hapo bado usafiri lakini pia foleni ya kiwandaniWadau, mie nina kaujenzi kanakokadiria kutumia mifuko 50 Hadi 100. Kununua rejareja naona inaniumiza. Ningependa kujua je inawezekana kununua cement kwa Bei ya jumla kutoka kiwandani ili nipate Bei ya punguzo kwa mifiko 100?
Naombeni ushauri. Naisha Mbezi Luisi karibu na Mageti
Super agents wanaweza sh ngapi mifuko 100?sbb hij retail price ya 17000 inanipiga sanaMkuu mifuko 100 ni michache sana kwa kuagiza order ya kiwandani, hiyo ni kama tan 5, hyo ni tofauti ya kama 1500 kwa bei ya mtaani, hapo bado usafiri lakini pia foleni ya kiwandani
Cheki na huyu,Super agents wanaweza sh ngapi mifuko 100?sbb hij retail price ya 17000 inanipiga sana
Kibaha sehemu gani? Una namba zao za simu?Kibaha kuna kiwanda cha wachina cha Cement ungechukua hapo
Huyu ni yule wa Goba..Kama upo Dar es Salaam kuna Jamaa anaitwa DarCement naona bei zake zipo chini Kidogo....
YesHuyu ni yule wa Goba..