Naomba ushauri juu ya biashara ya kuuza maharage

Naomba ushauri juu ya biashara ya kuuza maharage

Joined
Dec 22, 2020
Posts
26
Reaction score
21
Poleni na uchovu wana JF,

Ninaomba kujua juu ya biashara ya uuzaji wa maharage, sehemu yanapopatikana kwa bei nzuri, soko linapaytikanaje na misimu ya kuuza?

Nitashukuru endapo nitapatiwa ufafanuzi.

Ahsanteni.
 
Ungeongea we uko wapi ingesaidia sana
 
Mm niko Mpwapwa na ninafanya hii biashara kama utakuwa interested naweza kuwa nakuuzia kwa bei nafuu na ww ukatafute soko
 
Poleni na uchovu wana JF,

Ninaomba kujua juu ya biashara ya uuzaji wa maharage, sehemu yanapopatikana kwa bei nzuri, soko linapaytikanaje na misimu ya kuuza?

Nitashukuru endapo nitapatiwa ufafanuzi.

Ahsanteni.
Njoo DM maharage ya kagera ni mazuri kwa kilo 20 mi nutakuuzia kwa tsh 30000 tu kila aina ya maharage unayotaka sharti tuanzi tani moja

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom