Blandina Vedastus
Member
- Dec 22, 2020
- 26
- 21
Mkoa wa shinyangaUngeongea we uko wapi ingesaidia sana
Njoo DM maharage ya kagera ni mazuri kwa kilo 20 mi nutakuuzia kwa tsh 30000 tu kila aina ya maharage unayotaka sharti tuanzi tani mojaPoleni na uchovu wana JF,
Ninaomba kujua juu ya biashara ya uuzaji wa maharage, sehemu yanapopatikana kwa bei nzuri, soko linapaytikanaje na misimu ya kuuza?
Nitashukuru endapo nitapatiwa ufafanuzi.
Ahsanteni.
Wew unayatolea wapi ndug kwa Bei gan, nakuyauzia wap kwa Bei zipi tujuzeMm niko Mpwapwa na ninafanya hii biashara kama utakuwa interested naweza kuwa nakuuzia kwa bei nafuu na ww ukatafute soko