Wakuu poleni na majukumu, natarajia kwenda Njombe au Kilolo kununua msitu wa pine ekari moja kisa kupasua mbao za 2x6 ,2x4 kisha nizipeleke mwenyewe kuuza Babati.
Sasa anayefahamu kwa undani Faida na hasara, changamoto na Mapitio yote kuhusu biashara hii anijuze ili nipate kujua naanzaje.