Wazima ndugu zangu,
Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo tuliambiwa tulime ndio tule kula kwa Jason huko.
Lengo la kuja kwenu wakuu ni kuuliza kwa hapa mzizima jijini Dar es salaam ni sehemu gani nzuri kuanzisha biashara ya uwakala wa kifedha (vigezo vya kuangalia ili kufungua goli la uwakala wa mpesa tigopesa airtelmoney halopesa).Msaada wakuu wa mawazo juu ya kuchagua eneo zuri ,changamoto zake na maujanja mbalimbali.
Nawasilisha.