KICHWA BOX
Member
- Feb 21, 2015
- 21
- 0
Wakuu poleni na majukumu.
Naomba ushauri juu ya hii biashara ya vipodozi kwa mtaji wa 1milion nna frame tayari,kwa huo mtaji unatosha kuendeshea iyo biashara.Nnipo geita na nafikiria bidhaa kuifata Uganda kwa wana Jamii forums walioenda Uganda vipi upatikanaji wa vipodozi na bei yake.
Natanguliza shukrani