KICHWA BOX
Member
- Feb 21, 2015
- 21
- 0
Wakuu naombeni msaada wenu please
Thanks for your encouragementUnaweza ndugu.
Nashuru kiongozi wangu thou bado cjafanya mlinganisho wa bei ila naskia UG vitu vipo chini all in all ntaufanyia kazi ushauri wako ili kujiridhisha kwanza,THANKS AGAINKwanza jua bidhaa zinazouzika sehemu uliyopo ukianzia na body lotions, mafuta ya nywele, deodorizers (sprays na roll ons/sticks), tembelea saluni mbili tatu ujue dawa gani wanatumia sana maeneo hayo.
Then ukipata list sasa uulize upatikanaje wake huko unakotaka kwenda kununua na bei ya huku vs ya kule. . . .si vibaya ukayembea maduka ya wenzako kuona kama list yako inaendana au kupishana na bidhaa zilizopo kwa kiasi gani
Umesikia good sasa umeamua kufanya achana na kusikia do your research kuwa na data angalia gharama za kwenda na kurudi malazi na chakula then amua sasa kwa ajili ya utekelezaji.Nashuru kiongozi wangu thou bado cjafanya mlinganisho wa bei ila naskia UG vitu vipo chini all in all ntaufanyia kazi ushauri wako ili kujiridhisha kwanza,THANKS AGAIN
Asante kwa kunipa tahadhari na nakuahidi kuanzia kesho ntafanyia kazi ulichoniambia na nikikwama somewhere ntakutafuta kwa ushauri zaidi brother,Ubarikiwe sana.Umesikia good sasa umeamua kufanya achana na kusikia do your research kuwa na data angalia gharama za kwenda na kurudi malazi na chakula then amua sasa kwa ajili ya utekelezaji.
Umesikia sawa nakusisitizia ndugu yangu fanya hivi ninavyokushauri. Biashara yataka umakini na taarifa sahihi sana za wakati husika