Naomba Ushauri Kijana Mwenzenu,Mtoto Wenu Juu ya hili Jambo. Kama Kijana Daima Natafuta Njia ya Kunipatia Passive Income Huko Nikitimiza Baadhi ya Vindoto Vyangu Vidogo vidogo.
Nimekuwa Nikiota Ndoto juu Kuwa Youtuber au Kupata Passive income kupitia Youtube
Tayari Nina channel Mbili za Youtube. Moja ina 1K Subscribers Huko Huwa Napost Maudhui yangu(Beats)Napata Wateja(Wasanii) wa kununua Beats au kufanya nao Kazi Kupitia Hiyo channel,
Pia iko karibuni Kuwa Monetized Apendapo Mola
Channel ya pili Ambayo ndo Hii nakuja Kuomba Ushauri Juu ya Maudhui Yangu. Channel Hiyo ina Subscribers 11K.Nimeikuza ndani ya Miez mitatu Tu Ina Subscribers waukweli sio Maroboti.
Nilikuwa Natumia Content za mtu Kuikuza channel yangu baada ya kukua Nikafuta Video Zote ili nipachike za Kwangu,Channel Hii Ilikuwa Imeishafikisha Vigezo vyote Lakini Sikutaka Kuimonitize kwani Huenda youtube wangenambia Reused Content.Nimefuta video zote Watchime Imerudi 0 Nimefaidika Na Subscribers tu na Ndio nilichokuwa nataka,Sitaki Kupata Errors zozote nikiwa nafanya Monetization.
Naomba ushauri Nimeamua Kupachika maudhui Juu ya Kuelimisha Watu Kuhusu Historia Mbalimbali Na makala Juu ya Mambo tofauti Ya kihistoria,Kijamii,Kisayansi n.k Kwani Maisha Yangu Yote Huwa Napenda Kujifunza vitu Mbalimbali na Kusoma vitabu.
Nataka Nianze kutengeneza passive Income kwa Kuelimisha na Kujuza Watu Juu ya Kile Nachosoma.
Tatizo Linakuja Sauti Ya Kusimulizia Makala Ndo Nimekosa Kabisa au Siko confident nayo.Naomba Ushauri Juu Ya Hii sauti yangu Nimeweka Kipande cha Sauti Chini.
mkuu 11k subs ndani ya miezi 3 organically ni kitu kikubwa sana, sana...
kuhusu sauti hamna shida yeyote, jifunze kufanya voiceover, tutorial ni nyingi youtube afu kuna software kama adobe audition, audacity unaweza tumia kuchakachua sauti iwe nzuri zaidi...
hilo wazo la kutengeneza makala ni zuri, unatakiwa tu uwe na video ideas nzuri, kapitie channels za Johnny harris, Jake tran, na Tayo aina upate inspiraton...
jifunze video editing, video editing nzuri itasaidia audience retention

Shukran Kaka,Kuhusu Video Editing Hakuna Tatizo,Najua Graphics Kdogo.
Natumia AI inayoitwa Adobe Podcast kutoa Noise na Kuboost Sauti Kikubwa Kuboost Sauti Kwani Naweza Ingia studio Kurekod bila shida.
Asante Kwa Kunipa majina ya Channels Nipitie Niongeze Kitu
Bless Bro [emoji2936] Umetisha sana