Naomba ushauri juu ya hili.

Naomba ushauri juu ya hili.

buhange

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
505
Reaction score
110
Habari wadau! Mimi ni kijana mjasiliamari mdogo.Naomba uzoefu na mawazo yenu juu ya maswala ya mikopo nafuu iwe ya kibenki,SACCOS au NGOz maana mimi si mwajiliwa,sina nyumba wala shamba.Na jina ya benki au NGO husika.Nipo DOMm
 
Back
Top Bottom