buhange JF-Expert Member Joined Oct 23, 2011 Posts 505 Reaction score 110 Nov 4, 2011 #1 Habari wadau! Mimi ni kijana mjasiliamari mdogo.Naomba uzoefu na mawazo yenu juu ya maswala ya mikopo nafuu iwe ya kibenki,SACCOS au NGOz maana mimi si mwajiliwa,sina nyumba wala shamba.Na jina ya benki au NGO husika.Nipo DOMm
Habari wadau! Mimi ni kijana mjasiliamari mdogo.Naomba uzoefu na mawazo yenu juu ya maswala ya mikopo nafuu iwe ya kibenki,SACCOS au NGOz maana mimi si mwajiliwa,sina nyumba wala shamba.Na jina ya benki au NGO husika.Nipo DOMm