mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Nashauri uende kwa Ma Wakala wanao Agiza Magari nje as long as unahitaji tractorWana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni genuine seller maana eti unalipa 40% ya gharama na 60% baada ya kupokea mzigo,karibuni kwa ishauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa European countries jaribu kutafuta hiyo item www.Autoline. Info, so far ndio mtandao pendwa linapokuja swala la matangazo ya mauzo ya mitambo pamoja na magari kwa ulayaWana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni genuine seller maana eti unalipa 40% ya gharama na 60% baada ya kupokea mzigo,karibuni kwa ishauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa European countries jaribu kunitafuta hiyo item www.Autoline. Info, so far ndio mtandao pendwa linapokuja swala la matangazo ya mauzo ya mitambo pamoja na magari kwa ulaya
kama huyo anayekuuzia trekta yupo makini, lazima Hilo trekta litakuwa listed huko Autoline pia, na taarifa za muuzaji utazipata huko, kuanzia muda alikuwa nao Hao Autoline hadi adress za muuzaji
Ukiona Autoline hayuko, basi Anza kucheza kwa step, kuna uwezekano wa kulizwa hapo, Mind you, hiyo argument ya 40% kwanza, haiwezi kufanya kazi unaponunua items kama hizo mara nyingi wanataka full payments,
Ukiona seller anakutamanisha Sana na offer zisizowezekana kirahisi, Anza kuchukua tahadhari, ndo siri kubwa ya kununua online.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kulijua hilo la wanaigeria kuweka base zao za kitapeli Ukraine, so far najua wazungu washenzi kufanya nao biashara ni wa italianoMatapeli wengi wa Nigeria wamejiwekea base Ukraine. Auto mobile busines ni ya cash basis haina part payment. Hapo ni kutiwa mjini tu. Namshauri ndugu yetu aachane nayo hiyo biashara. Hawa jamaa wako vizuri kwenye IT Technology mpaka wamemliza Hilary Clinton. Hiyo company hata hai exist in reality iko kwenye screen tu!