korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Wakuu kuna gari ya nyumbani ambayo ni Suzuki Grand Vitara mafundi wanasema imekufa engine, so tulitaka tuibadili engine lakini iwe ya automatic. Je, inawezekana na wapi nitapata mafundi wazuri wa kurekebisha, gharama inaweza kuwa kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app