Naomba ushauri juu ya mbegu bora ya mahindi ya kuchoma

Naomba ushauri juu ya mbegu bora ya mahindi ya kuchoma

Northern empire

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
358
Reaction score
459
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni mkulima kwa Sasa nipo dar nahitaji kufaham mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma na maeneo yanapopatikana kwa hapa Dar.

Ni hayo tuu ndugu zangu
 
Huko northern mwa Tz kuna mbegu ya mahindi yanaitwa Katumani. Ni matamu balaa.
 
Mkuu kuhusu mbegu bora ya mahindi,sina idea sana ila nina namba ya mtaalamu wa kilimo kutoka SUA.Kama utahitaji namba yake,nikutumie
 
Back
Top Bottom