Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Pioneer ni mbegu INA sukari sana. Tumia hiyo utateka soko.Huko northern mwa Tz kuna mbegu ya mahindi yanaitwa Katumani. Ni matamu balaa.
Ahaa sawa inauzwa kwa Bei gan?Pioneer ni mbegu INA sukari sana. Tumia hiyo utateka solo.
Asante boss.Kazi yako ni njema.
Kama 8000 hivi kwa pakti,Ahaa sawa inauzwa kwa Bei gan?
Sawa naomba unitumie ndugu yangu utakuwa umenisaidiaaMkuu kuhusu mbegu bora ya mahindi,sina idea sana ila nina namba ya mtaalamu wa kilimo kutoka SUA.Kama utahitaji namba yake,nikutumie
Naomba namba yajeMkuu kuhusu mbegu bora ya mahindi,sina idea sana ila nina namba ya mtaalamu wa kilimo kutoka SUA.Kama utahitaji namba yake,nikutumie