Nimiezi sita ss tangu nifungua duka mkoani,nimeajiri wafanyakazi wawili ila mmja hana majibu mazuri kwa wateja mpaka biashara kimapato imepungua sana.juu ya tabia yake wateja ndio wamenipigia simu sbb nimeweka business card zangu pale.pia sio mzuri katika utanzaji wa document nafikiria kuchua uamuzi wa kufukuza kazi sbb kama unavyo juwa mtaji wanyewe ni watabu mpaka nimepata wana jf nifanyaje sbb inanifanya kichwa kinauma sana.naomba ushauri kwa hili juu ya tatizo hili
Nimiezi sita ss tangu nifungua duka mkoani,nimeajiri wafanyakazi wawili ila mmja hana majibu mazuri kwa wateja mpaka biashara kimapato imepungua sana.juu ya tabia yake wateja ndio wamenipigia simu sbb nimeweka business card zangu pale.
Pia sio mzuri katika utanzaji wa document nafikiria kuchua uamuzi wa kufukuza kazi sbb kama unavyo juwa mtaji wanyewe ni watabu mpaka nimepata wana jf nifanyaje sbb inanifanya kichwa kinauma sana.naomba ushauri kwa hili juu ya tatizo hili
Tahadhari mkuu, kama mfanyakazi ni binti na jamaa ameishamla ni vigumu sana kurekebishika...Suluhisho la matatizo hayo si kumfukuza kazi. labda kwanza nikuulize wewe binafsi umeshachukua jitihada gani za kutatua hayo matatizo yao, tofauti na hilo wazo la kufukuza kazi? Mkuu, mapungufu hayo yote yanarekebishika, sasa badala ya kufukuza nakushauri uwekeze katika uelewa na perfomance wa wafanyakazi wako.
Wasipofundishika na kuelewa, na kuyakataa mabadiliko basi find her replacement, lakini nawe ubadilishe vigezo ulivyotumia kumpata huyo mfanyakazi wako
Tahadhari mkuu, kama mfanyakazi ni binti na jamaa ameishamla ni vigumu sana kurekebishika...
Huenda hata kiburi na majibu ya hovyo kwa wateja ni kwa kuwa anahisi ana shea na boss wake. Dawa yake ni kufukuza tu na kuokoa biashara
Wasipofundishika na kuelewa, na kuyakataa mabadiliko basi find her replacement, lakini nawe ubadilishe vigezo ulivyotumia kumpata huyo mfanyakazi wako