Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 636
Ugonjwa huu naona unaenea kwa kasi kwa sasa,Habari wakuu,
Ni mwezi mmoja sasa toka nigundue kuwa na maambukizi ya bacteria wa kifua kikuu na pia ni mwezi sasa toka nianze dawa zake. Na nilivyocheki kuhusu HIV nikakutwa ni negative.
Ajabu toka nianze dawa nimekuwa nikikohoa sana usiku mpaka kushidwa kupumua vizuri na nimekuwa nikipatwa na mafua makali sana kiasi cha kunisababishia kutolala vizuri.
Pia nimekuwa nikisumbuliwa sana na macho, yaani yamekuwa yakiuma sana na kuwa mekundu kwelikweli.
Naomba maoni yenu na ushauri juu ya ugonjwa huu na sababu ya jambo hili kujitokeza. Pia nini nifanye na kipi niache kufanya kwa sasa ili niweze kuwa salama. Ntashukuru sana.
Asanteni wakuu.
Naamini unahudhuria kliniki kila wiki na wanafatilia maendeleo yako.Habari wakuu,
Ni mwezi mmoja sasa toka nigundue kuwa na maambukizi ya bacteria wa kifua kikuu na pia ni mwezi sasa toka nianze dawa zake. Na nilivyocheki kuhusu HIV nikakutwa ni negative.
Ajabu toka nianze dawa nimekuwa nikikohoa sana usiku mpaka kushidwa kupumua vizuri na nimekuwa nikipatwa na mafua makali sana kiasi cha kunisababishia kutolala vizuri.
Pia nimekuwa nikisumbuliwa sana na macho, yaani yamekuwa yakiuma sana na kuwa mekundu kwelikweli.
Naomba maoni yenu na ushauri juu ya ugonjwa huu na sababu ya jambo hili kujitokeza. Pia nini nifanye na kipi niache kufanya kwa sasa ili niweze kuwa salama. Ntashukuru sana.
Asanteni wakuu.
Hongera kiongozi, naamini nitaponaNilishatumiaga hizo dawa miezi 6 nikapona mazima
Pole sana, ila pia hongera kwa kukubali kuanza matibabu.Habari wakuu,
Ni mwezi mmoja sasa toka nigundue kuwa na maambukizi ya bacteria wa kifua kikuu na pia ni mwezi sasa toka nianze dawa zake. Na nilivyocheki kuhusu HIV nikakutwa ni negative.
Ajabu toka nianze dawa nimekuwa nikikohoa sana usiku mpaka kushidwa kupumua vizuri na nimekuwa nikipatwa na mafua makali sana kiasi cha kunisababishia kutolala vizuri.
Pia nimekuwa nikisumbuliwa sana na macho, yaani yamekuwa yakiuma sana na kuwa mekundu kwelikweli.
Naomba maoni yenu na ushauri juu ya ugonjwa huu na sababu ya jambo hili kujitokeza. Pia nini nifanye na kipi niache kufanya kwa sasa ili niweze kuwa salama. Ntashukuru sana.
Asanteni wakuu.
InshaallahPole sana, ila pia hongera kwa kukubali kuanza matibabu.
Binafsi niliisoma, niliugua na kupona na pia naendelea kutibu wagonjwa wa kifua kikuu.
Side effects za dawa zake zinapelekesha sana. Ila zivumilie, zikizidi mjulishe daktari wako. Jitahidi kula, hasa matunda yatakuongezea hamu ya kula vyakula vyengine.
Maudhi mengi yatapotea ukimaliza miezi miwili ya mwanzo ya dawa.