Naomba ushauri juu ya wazo la kufungua mgahawa wa vyakula vya asili

Naomba ushauri juu ya wazo la kufungua mgahawa wa vyakula vya asili

Maji Chai

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2018
Posts
265
Reaction score
362
Waungwana naombeni michago yenu nipo kwenye njia sahihi au watu hawataki hivi vyakula tena maana nina mpango wa kufungua mgahawa mdogo na kupika vyakula vya asili peke ake

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Anza Usijiulize Mara Mbili Mbili Kama Tayari Umefanya Upembuzi Yakinifu.
 
Kama hujafungua unazidi kuchelewa...

Ngoja nikutajie moja ya menyu...

Makande ya mahindi ambayo hayajakobolewa na maharage mekundu.

Dagaa mchele wabichi wa kukaanga kachumbari matembele na ugali wa muhogo

Ugali wa Dona changu au tasi wa kukaanga kachumbari na bamia chukuchuku lenye nyanya chungu.

Ugali wa mhogo uliochanganywa na dona, kisamvu kilochoungwa na nazi au karanga na nyama ya kurosti 😋😋
 
Back
Top Bottom