Kama hujafungua unazidi kuchelewa...
Ngoja nikutajie moja ya menyu...
Makande ya mahindi ambayo hayajakobolewa na maharage mekundu.
Dagaa mchele wabichi wa kukaanga kachumbari matembele na ugali wa muhogo
Ugali wa Dona changu au tasi wa kukaanga kachumbari na bamia chukuchuku lenye nyanya chungu.
Ugali wa mhogo uliochanganywa na dona, kisamvu kilochoungwa na nazi au karanga na nyama ya kurosti 😋😋