Naomba ushauri kati ya Bachelor of Arts in Economics na Bachelor of Economics and Finance

Naomba ushauri kati ya Bachelor of Arts in Economics na Bachelor of Economics and Finance

Zou Alley

Member
Joined
May 15, 2022
Posts
39
Reaction score
32
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:

1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university

2: Bachelor of Economics and finance I F M.

Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu, naomba sana.
 
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:

1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university

2: Bachelor of Economics and finance I F M.

Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu,naomba sana.
Nenda IFM
 
Bachelor of arts in economics(pure economics) unasoma kozi zote zinazohusiana na uchumi kwa ujumla na inakuwezesha kufanya kazi zote zinazohusiana na uchumi mfano agricultural economics and natunal resources, environmental economics(NEMC), Public finance(taxation), international economics(international trade), monetary economics(money, banking and finance services) takwimu na research (econometrics), economics policy and planning (B.O.T and ministers of finance na bungeni wakati wa budgeti kuu(fiscal years) n.k

Malengo ya kozi
1. Mwanafunzi kuwa na uelewa kuhusu masuala ya uchumi kwa ujumla kama micro na macro economics.
2. Kufanya tafiti na kutunga sera zinazohusiana na masuala ya kiuchumi n.k
 
Bachelor of economics and finance unasoma mambo baadhi ya uchumi na mambo ya baadhi ya finance lakin unakuwa haupo deep sana kwenye uchumi na wala finance kwa pure economics(bachelor of arts in economics) na pure finance ni bachelor of commerce in finance lakini inakuweza kuomba kazi zinazohusiana na mambo ya uchumi na vile vile mamb ya finance lakini ukifanya hii kozi unabidi utafute na CPA ili uwe umijitosheleza.
 
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:

1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university

2: Bachelor of Economics and finance I F M.

Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu,naomba sana.

1. Kama unataka uelewa mpana kuhusu masuala ya uchumi na tafiti zake kama inflation, exchange rates and Foreign exchange market(FOREX) Foreign Direct Investment (FDI) per capital income, gdp, investment, interest rate n.k fanya hiyo ya ardhi.

2.na kama unataka kufanya kazi katika financial institutions kama banking, mico finance, micro credit,auditing firms n.k fanya ya IFM
 
1.Kama unataka uelewa mpana kuhusu masuala ya uchumi na tafiti zake kama inflation, exchange rates and Foreign exchange market(FOREX) Foreign Direct Investment (FDI) per capital income, gdp, investment, interest rate n.k fanya hiyo ya ardhi
2.na kama unataka kufanya kazi katika financial institutions kama banking, mico finance, micro credit,auditing firms n.k fanya ya IFM
Mkuu asante sana sana! Umenitosheleza Kwa upana! nimeelewa vzri sana! Haya maelezo niliyasubiri sana Ili nifanye maamuzi yangu na Sasa nashkuru nimeyapata.Mwenyezi Mungu Akubariki sana sana sana!🙏
 
Bachelor of arts in economics(pure economics) unasoma kozi zote zinazohusiana na uchumi kwa ujumla na inakuwezesha kufanya kazi zote zinazohusiana na uchumi mfano agricultural economics and natunal resources,environmental economics(NEMC),Public finance(taxation),international economics(international trade),monetary economics(money,banking and finance services) takwimu na research (econometrics),economics policy and planning (B.O.T and ministers of finance na bungeni wakati wa budgeti kuu(fiscal years) n.k
Malengo ya kozi
1. Mwanafunzi kuwa na uelewa kuhusu masuala ya uchumi kwa ujumla kama micro na macro economics.
2. Kufanya tafiti na kutunga sera zinazohusiana na masuala ya kiuchumi n.k
Asante sana sana kwa maelezo ya kutosheleza kabisa.Mungu akubariki mno kiongozi! Umenipa mwanga mdogo wako!
 
Bachelor of economics and finance unasoma mambo baadhi ya uchumi na mambo ya baadhi ya finance lakin unakuwa haupo deep sana kwenye uchumi na wala finance kwa pure economics(bachelor of arts in economics) na pure finance ni bachelor of commerce in finance lakini inakuweza kuomba kazi zinazohusiana na mambo ya uchumi na vile vile mamb ya finance lakini ukifanya hii kozi unabidi utafute na CPA ili uwe umijitosheleza.
Kiongozi nimekuelewa vizuri sana,
Asante sana kwa muongozo uliojitosheleza kabisa! nimeelewa vizuri.Ubarikiwe sana!Na Sasa umeniwezesha nafanya maamuzi yangu!,🙏
 
Back
Top Bottom